TANGAZO


Wednesday, January 29, 2014

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu akabidhi vitabu vya ziada kwa Shule za Sekondari za Dar es Salaam na Gerezani, zote za Gerezani jijini Dar es Salaam


Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam, iliyopo Gerezani jijini Dar es Salaam, Mahija Semgaya akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa vitabu vya ziada na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu (katikati), Dar es Salaam leo. Mbunge Zungu alizikabidhi shule hiyo pamoja na Gerezani Sekondari, jumla ya vitabu 480 vyenye thamani ya sh. milioni 6. Kila shule ilipata vitabu 240. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Shule ya Gerezani, Elia Agen. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogSpot.com)
Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari za Gerezani na Dar es Salaam, zote za Gerezani jijini wakiwa katika hafla hiyo leo.
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sultani, akimtambulisha wageni mbalimbali walihudhuria katika hafla hiyo. 
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari za Gerezani jijini Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo leo.
Baadhi ya wageni na watendaji wa Mtaa wa Gerezaji wakiwa katika hafla hiyo, wakisikiliza risala ya shule hizo, iliyokuwa ikisomwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam, iliyopo Gerezani jijini Dar es Salaam, Mahija Semgaya.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam, iliyopo Gerezani jijini Dar es Salaam, Mahija Semgaya akisoma risala ya shule hizo, wakati wa hafla hiyo leo.
Vitabu vilivyokabidhiwa kwa Shule za Sekondari za Gerezani na Dar es Salaam, vikiwa mbele ya meza kuu.
Hivi ndivyo vitabu vilivyokabidhiwa kwa Shule za Sekondari za Gerezani na Dar es Salaam, jijini leo.
Makamu Mkuu wa Shule ya Gerezani, Elia Agen, akizungumza katika hafla hiyo.
Makamu Mkuu wa Shule ya Gerezani, Elia Agen, akizungumza katika hafla hiyo.
Makamu Mkuu wa Shule ya Gerezani, Elia Agen, akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Mbunge Mussa Zungu.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akizungumza wakati wa alipokabidhi vitabu 480 kwa Shule za Sekondari za Gerezani, na Sekondari ya Dar es Salaam, zilizopo maeneo ya Gerezani jijini leo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akizungumza wakati wa alipokabidhi vitabu 480 kwa Shule za Sekondari za Gerezani, na Sekondari ya Dar es Salaam, zilizopo maeneo ya Gerezani jijini leo. Kushoto ni baadhi ya wanafunzi wa shule hizo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akizungumza wakati wa alipokabidhi vitabu 480 kwa Shule za Sekondari za Gerezani, na Sekondari ya Dar es Salaam, zilizopo maeneo ya Gerezani jijini leo. Kushoto ni baadhi ya wanafunzi wa shule hizo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto) na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam, Mahija Semgaya, wakiangalia vitabu hivyo kabla ya kuvikabidhi kwa shule hizo leo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akimkabidhi moja ya vitabu 480, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam, iliyopo Gerezani jijini Dar es Salaam, Mahija Semgaya, wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu hivyo vya ziada, vyenye thamani  ya sh. milioni 6 kwa shule hiyo pamoja na Sekondari ya Gerezani, zilizopo maeneo ya Gerezani jijini jana. Kila shule ilipata vitabu 240.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akimkabidhi moja ya vitabu 480, Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Gerezani, Elia Ageni, wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu hivyo vya ziada, vyenye thamani  ya sh. milioni 6 kwa shule hiyo pamoja na Sekondari ya Dar es Salaam, zilizopo maeneo ya Gerezani jijini leo. Kila shule ilipata vitabu 240.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akimkabidhi moja ya vitabu 480, Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Gerezani, Elia Ageni, wakati wa hafla hiyo.
Mbunge Zungu (kushoto), akikabidhi vitabu hivyo, 480 kwa  Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Gerezani, Elia Ageni, wakati wa hafla hiyo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akiwaeleza jambo wanafunzi wa shule hizo, mara baada ya kuvikabidhi katika shule hizo leo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akipeana mikono na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari za Garezani na Dar es Salaam, zilizoko maeneo ya Gerezani jijini leo, wakati alipokabidhi vitabu vya ziada kwa shule hizo, vyenye thamani ya sh. milioni 6. Kila shule ilipata vitabu 240. 
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akizungumza Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam, Mahija Semgaya (katikati), wakati wakiagana pamoja na baadhi ya viongozi wa Mitaa ya Gerezani.
 
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akipeana mikono na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari za Garezani na Dar es Salaam, zilizoko maeneo ya Gerezani jijini leo, wakati alipokabidhi vitabu vya ziada kwa shule hizo, vyenye thamani ya sh. milioni 6. Kila shule ilipata vitabu 240. 
 Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto), akiagana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam, Mahija Semgaya (katikati), pamoja na baadhi ya viongozi wa Mtaa ya Gerezani baada ya kumalizika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment