TANGAZO


Wednesday, December 18, 2013

Kampuni ya kuzalisha unga wa ngano wa Azania, Mikoani Traders, yazindua ghala la kuhifadhia nafaka la kisasa kwa ajili ya kuhudumia kampuni mbalimbali binafsi na mashirika ya umma

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa ghala la kisasa la kuhifadhia nafaka mbalimbali kwa Kampuni binafsi na mashirika ya umma. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Meza kuu ya viongozi wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, ikiwa tayari kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari, kuhusu uzinduzi wa ghala la kisasa la kuhifadhia nafaka kwa kampuni mbalimbali za watu binafsi na mashirika ya umma, Kurasani maeneo ya Bandarini,  Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, Awadh Fuad (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa ghala la kisasa la kuhifadhia nafaka kwa kampuni mbalimbali za watu binafsi na mashirika ya umma, Kurasani maeneo ya Bandarini,  Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh na wa kwanza kushoto ni Meneja Masoko na Mauzo, Mohammed Bashrahil.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliokuwepo katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wapigapicha za televisheni, wakichukua habari zilizokuwa zikitolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, Awadh Fuad.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, Awadh Fuad, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa ghala hilo la kisasa la kuhifadhia nafaka kwa kampuni mbalimbali za watu binafsi na mashirika ya umma, Kurasani maeneo ya Bandarini,  Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh na kushoto ni Meneja Masoko na Mauzo, Mohammed Bashrahil.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, Awadh Fuad, akizungumza katika uzinduzi huo leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh na kulia ni Mshauri wa Biashara wa kampuni hiyo, Benedict Temba.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, Awadh Fuad, akizungumza katika uzinduzi wa ghala hilo la kisasa la kuhifadhia nafaka.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, Awadh Fuad, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wakati alipozungumza nao katika uzinduzi huo, jijini leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano na uzinduzi huo. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi, Awadh Fuad.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu godauni hilo jipya lenye teknojia ya kisasa katika kuhifadhia nafaka za aina zote, wakati wa mkutano na uzinduzi huo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi, Awadh Fuad na Mshauri wa Kibiashara wa kampuni, Benedict Temba.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (kulia), kuhusu godauni hilo jipya lenye teknojia ya kisasa katika kuhifadhia nafaka za aina zote, wakati wa mkutano na uzinduzi huo.
 Waandishi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa  yakitolewa na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (kulia), kuhusu godauni hilo jipya lenye teknojia ya kisasa katika kuhifadhia nafaka za aina zote, wakati wa mkutano na uzinduzi huo. Kushoto ni Meneja Masoko na Mauzo, Mohammed Bashrahil.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (kulia), kuhusu godauni hilo jipya lenye teknojia ya kisasa katika kuhifadhia nafaka za aina zote, wakati wa mkutano na uzinduzi huo. Kushoto ni Meneja Masoko na Mauzo, Mohammed Bashrahil.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (kulia), kuhusu godauni hilo jipya lenye teknojia ya kisasa katika kuhifadhia nafaka za aina zote, wakati wa mkutano na uzinduzi huo. Kushoto ni Meneja Masoko na Mauzo, Mohammed Bashrahil.
Mshauri wa Biashara wa kampuni hiyo, Benedict Temba, akielezea jambo, wakati wa mkutano na uzinduzi wa godauni hilo la kisasa la kuhifadhia nafaka za aina zote. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh na katikati ni Mkurugenzi Msaidizi Awadh Fuad.
Mshauri wa Biashara wa kampuni hiyo, Benedict Temba, akielezea jambo, wakati wa mkutano na uzinduzi wa godauni hilo la kisasa la kuhifadhia nafaka za aina zote. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh na katikati ni Mkurugenzi Msaidizi Awadh Fuad.
Waandishi wa habari wakienda kutembelea sehemu mbalimbali za godauni hilo la kisasa kujionea kazi za uhifadhi zinavyoendeshwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh, akiwa pamoja na waandishi chini ya godauni hilo, wakiangalia namna ya uhifadhi nafaka katika godauni la kisasa, mara baada ya kuzinduliwa leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Fuad Awadh, akiwaongoza waandishi wa habari katika kuwatembeza chini ya godauni, juu na sehemu mbalimbali kujionea kazi ya uhifadhi nafaka inavyofanyika kwenye godauni hilo la kipekee nchini, lenye teknolojia ya kisasa katika kuhifadhi nafaka za aina mbalimbali.
Waandishi wakiwa katika moja ya sehemu ya ndani, chini ya godauni hilo.
Hapa ni sehemu ya mtambo wa kufunga bidhaa: Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, Fuad Awadh, akiwapatia maelezo waandishi wa habari kuhusu njia ya kuzifunga kwenye viroba bidhaa za nafaka baada ya kuhifadhiwa na wakati wa kuzihamisha kwa ajili ya kwenda kwa walaji ama sehemu zingine.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha Unga wa Ngano wa Azania, ya Mikoani Traders, Fuad Awadh, akiwapatia maelezo waandishi wa habari kuhusu njia ya kuzifunga kwenye viroba bidhaa za nafaka (kulia), baada ya kuhifadhiwa na wakati wa kuzihamisha kwa ajili ya kwenda kwa walaji ama sehemu zingine. 
Hapa ni 'Control Room', sehemu yenye kompyuta zinazoendesha mitambo ya uhifadhi wa bidhaa za nafaka mbalimbali kwenye godauni hilo la kisasa. Mtaalamu, Mhandisi Milolongo, Bahati Mligo, akiwapatia maelezo waandishi wa habari kuhusu kazi za kompyuta hizo.
Hapa ni 'Control Room', sehemu yenye kompyuta zinazoendesha mitambo ya uhifadhi wa bidhaa za nafaka mbalimbali kwenye godauni hilo la kisasa. Mtaalamu, Mhandisi Milolongo, Bahati Mligo, akiwapatia maelezo waandishi wa habari kuhusu kazi za kompyuta hizo.
Meneja Masoko na Mauzo wa Kampuni hiyo, Mohammed Bashrahil, akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani ) sehemu ya juu ya godauni hilo, alipowatembeza sehemu ya juu.
Waandishi wakichukua picha za shemu mbalimbali za juu ya godauni hilo.
Hii ni sehemu ya juu ya godauni hilo la kisasa ambalo pia linaweza kutumiwa na nchi za nje kuweza kuhifadhi bidhaa zake kwa muda 'Transit' ama hata muda mrefu.
 Hapa baadhi ya uongozi wa kampuni hiyo, ukiwatembeza waandishi wa habari sehemu ya juu ya godauni hilo.
Waandishi wa habari wakionekana kwa mbali sehemu ya juu ya godauni hilo.
Hapa malori ya Azania yakiwa kwenye foleni ya kupakia bidhaa hizo kwa ajili ya kuzipelekwa kwa mmiliki wake baada ya kuhifadhiwa kwa muda kwenye godauni hilo la kisasa.
Hapa Mkurugenzi Msaidizi, Awadh Fuad, akiwaongoza waandishi wa habari kushuka chini kutoka sehemu ya juu ya godauni hilo.

No comments:

Post a Comment