Wafuasi wa Mohammed Morsi wakiandamana
Mahakama moja nchini Misri imewahukumu wafuasi 12 wa rais
aliyeng'olewa madarakani, Mohamed Morsi, kifungo cha miaka kumi na saba jela
kila mmoja kwa kushiriki katika ghasia za mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka
huu.

No comments:
Post a Comment