TANGAZO


Thursday, November 28, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal azindua sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Miaka 10 ya Mapinduzi katika Sekta ya Mawasiliano Tanzania, yaliyozinduliwa rasmi leo, ukumbi wa Mliman City, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Miaka 10 ya Mapinduzi katika Sekta ya Mawasiliano Tanzania, yaliyozinduliwa rasmi leo, ukumbi wa Mliman City, jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika maadhimisho hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, alipotembelea chumba cha Mtambo wa Kufuatilia Mawasiliano ya Simu (Telecommunicatins Traffic Monitoring System), baada ya kufungua rasmi Sherehe za uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo katika ukumbi wa Mliman City, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa.
Baadhi ya wageni waalikwa, Wakurugenzi na watu mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika maadhimisho hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi msaidizi Chumba cha Mtambo wa Kufuatilia Mawasiliano ya Simu (Telecommunicatins Traffic Monitoring System), Sunday Richard, wakati alipotembelea chumba hicho, baada ya kufungua rasmi Sherehe za uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo
ukumbi wa Mliman City, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma.

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi, Chumba cha Mtambo wa Kufuatilia Mawasiliano ya Simu (Telecommunicatins Traffic Monitoring System), Sunday Richard, wakati alipotembelea chumba hicho, baada ya kufungua Sherehe za uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo ukumbi wa Mliman City jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa  na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, akizungumza katika uzinduzi wa maadhimisho hayo, jijini leo. 
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akizungumza na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma (kulia) na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, nje ya jengo la Mawasiliano baada ya kutembelea Chumba cha Mtambo wa Kufuatilia Mawasiliano ya Simu (Telecommunicatins Traffic Monitoring System), baada ya kufungua rasmi Sherehe za uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo, katika ukumbi wa Mliman City, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa, Wakurugenzi na watu mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo.
Picha ya pamoja, Makamu wa Rais, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma na Wajumbe wa Bodi, wakati wa uzinduzi wa maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment