Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Henry Lihaya (kushoto), akikabidhi bendera ya Taifa kwa nahodha wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Kelvin Yondani, Dar es Salaam leo kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika nchini Kenya. Kulia ni Kocha wa timu ya Taifa, Kim Poulsen. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Geofrey Nyange Kaburu akizungumza wakati Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Henry Lihaya, alipokabidhi bendera ya Taifa kwa Nahodha wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Kelvin Yondani (kushoto), Dar es Salaam leo kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika nchini Kenya. Kulia ni Kocha wa timu ya Taifa, Kim Poulsen.
Nahodha wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Kelvin Yondani, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokabidhiwa bendera kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika nchini Kenya. Kulia ni Kocha wa timu ya Taifa, Kim Poulsen.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Geofrey Nyange Kaburu akizungumza wakati Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Henry Lihaya, alipokabidhi bendera ya Taifa kwa Nahodha wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Kelvin Yondani (kushoto), Dar es Salaam leo kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika nchini Kenya. Kulia ni Kocha wa timu ya Taifa, Kim Poulsen.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), wakati katika hafla ya kukabidhiwa bendera na Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Henry Lihaya, Dar es Salaam leo kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika nchini Kenya.
No comments:
Post a Comment