![]() |
| Viunga vya mji wa Iringa, ambao utakuwa Mwenyeji wa Wiki ya Vijana Kitaifa, kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2013. |
Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Iringa waliofika katika banda la maonyesho la VETA, Iringa wakipata maelezo ya bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na na VETA kutoka kwa Oliva Adriano (katikati), mwanafunzi wa mwaka wa 3 katika chuo cha Ufundi (VETA), Mkoa wa Iringa.
Vijana wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA), Mkoa wa Iringa wakionyesha ujenzi wa nyumba za gharama nafuu wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa mkoani Iringa leo.
Baadhi ya watoto wakiangalia banda la Vijana kutoka mkoa wa Dar es Salaam na bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na Vijana hao leo, katika Viwanja vya Mlandege, mkoani Iringa. (Picha na Aron Msigwa -MAELEZO)






No comments:
Post a Comment