TANGAZO


Saturday, October 12, 2013

Simba yaparura Tanzania Prison, Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, yaifunga 1-0

Mashabiki wa Simba, wakifuatilia mchezo kati ya timu yao ilipokuwa ikicheza na Tanzania Prison ya Mbeya, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Simba imeshinda bao 1-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.
bayana.blospot.com)
Glikipa wa Tanzania Prison, Beno David akiruka juu kuudaka mpira, wakati wa mchezo huo na Simba SC, Uwanja wa Taifa, Dar e Salaam leo.
Abdulhalim Humud (24) wa Simba na Peter Michael wa Tanzania Prison, wakiruka juu kuuwahi mpira wa kichwa.
Abdulhalim Humud wa Simba, akiutoa mpira nje kabla ya kunaswa na Peter Michael wa Tanzania Prison.
Laurian Mpalile wa Tanzania Prison, akipiga tik tak huku akizongwa na Amis Tambwe wa Simba, wakati timu hizo, zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, leo jioni Uwanja wa Taifa.
Ramadhan Singano wa Simba, akijaribu kapiga chenga mabeki wa Tanzania Prison katika mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Singano wa Simba akipambana na Laurian Mpalile wa Tanzania Prison katika mchezo huo leo jioni.
Ramadhan Singano (kushoto) wa Simba akimtoka Laurian Mpalile wa Tanzania Prison katika mchezo huo leo jioni. 
Ramadhan Singano wa Simba akidondoka chini wakati alipokuwa akiwania mpira na golikipa Beno David wa Tanzania Prison, aliyeudaka mpira huo.
Nimkaza Jumanne wa Tanzania Prison, akiruka juu kuuwahi mpira uliokuwa ukiwaniwa pia na Ramadhan Singano w Simba.
Ramadhan Singano wa Simba akiumiliki mpira uliokuwa ukiwaniwa pia na Jimmy Shoji wa Tanzania Prison.
Ramadhan Singano wa Simba akimtoka Jimmy Shoji wa Tanzania Prison, wakati wa mchezo huo.
Ramadhan Singano wa Simba akiukimbilia mpira na Jimmy Shoji wa Tanzania Prison, wakati wa mchezo huo.
Jonas Mkude wa Simba (20), akiruka juu na Nimkaza Jumanne kuwania kuupiga kichwa mpira, wakati wa mchezo huo leo.
Glikipa wa Tanzania Prison, Beno David akiruka juu kuudaka mpira, wakati wa mchezo huo na Simba SC, Uwanja wa Taifa, Dar e Salaam leo.
Hamis Tambwe wa Simba akiudhibiti mpira huku akizongwa na Mwangama Lugano wa Tanzania Prison, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Glikipa wa Tanzania Prison, Beno David akiruka juu kuudaka mpira, uliokuwa ukiwaniwa na Amis Tambwe wa Simba, wakati wa mchezo huo.
Ramadhan Singano wa Simba, akijaribu kuudhibiti mpira huku akifuatwa na Nurdin Issa wakati wa mchezo huo.
Ramadhan Singano wa Simba, akijaribu kuudhibiti mpira huku akifuatwa na Nurdin Issa wakati wa mchezo huo.
Ramadhan Singano wa Simba, akipiga chenga wakati alipokuwa akifuatwa na Nurdin Issa wa Tanzania Prison.
Amis Tambwe wa Simba (kulia), akijaribu kuumiliki mpira huku akizongwa na Nurdin Issa wa Tanzania Prison Prison.

Ramadhan Singano (kushoto) wa Simba akishangilia na wenzake kwa kukifuta kiatu cha Jonas Mkude (wa pili kulia), baada ya mchezaji huyo kuipatia bao timu yao, ya Simba wakati ilipocheza na Tanzania Prison  katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment