TANGAZO


Thursday, October 17, 2013

Aman Bariki amchakaza Ismail Kajima

Bondia Amani Bariki 'Chuga Boy' (kushoto), akipambana ya Ismail Kajima wakati wa mpambano wao, uliofanyika Mbezi kwa Msuguri katika ukumbi wa Samunge Dar es Salaam siku ya kusherehekea Sikukuu ya Idi. Chuga boy alishinda kwa pointi.
Bondia Amani Bariki 'Chuga Boy', akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ismail Kajima wakati wa mchezo wao uliofanyika Mbezi kwa Msuguri, ukumbi wa Samunge, Dar es Salaam jana, wakati wa kusherehekea Sikukuu ya Idi. Chuga Boy alishinda kwa point mchezo huo.
Bondia Amani Bariki 'Chuga Boy' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ismail Kajima wakati wa mchezo wao uliofanyika Mbezi kwa Msuguli, ukumbi wa Samunge, Dar es Salaam jana. Wakati wa kusherehekea sikukuu ya Idi, Chuga Boy alishinda kwa point katika mchezo huo. 
Chuga Boy, akitangazwa kuwa mshindi wakati wa mpambano huo
Bondia Julius Kisarawe, akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rogat  Mkude wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikukuu ya Idi Hal Haj katika ukumbi wa Samunge uliopo Mbezi kwa Msuguri, Dar es Salaam jana. Kisarawe alishinda kwa point katika mchezo huo. (Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment