Baadhi ya wanamitindo waliofuzu katika awamu ya
kwanza ya usaili wa wanamitindo watakaoshiriki maonesho ya Vodacom Zanzibar
Fashion Week wakiwa katika picha ya pamoja na majaji pamoja na waandaaji wa
Maonesho hayo yatakayofanyika kuanzia tarehe 27 hadi 27 Visiwani Zanzibar Mara
baada ya kumalizika kwa usaili uliofanyika katika ukumbi wa Alliance Francaise
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mchujo mwingine utafanyika visiwani
Zanzibar mwisho wa wiki hii. (Picha na Mpigapicha Wetu)
Baadhi ya wanamitindo waliojitokeza katika usaili
wa wanamitindo watakaoshiriki katik amaonesho ya Vodacom Zanzibar Fashion Week
wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa usaili huo uliofanyika katika
ukumbi wa Alliance Francaise jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki Maonesho
hayo yatakayofanyika kuanzia tarehe 27 hadi 27 Visiwani Zanzibar. Mchujo
mwingine utafanyika visiwani Zanzibar mwisho wa wiki hii.
Washindi wa mchujo wa mwisho wa Maonesho ya
mitindo ya Vodacom Zanzibar Fashion Week yatakayofanyika visiwani Zanzibar
kuanzia tarehe 25 hadi 27 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kutangazwa washindi. Zaidi ya wanamitindo 100 walihudhuria usaili huo uliofanyika katika ukumbi wa Alliance
Francaise jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na wanamitindo 10 kuibuka
kidedea. Mchujo mwingine utafanyika visiwani Zanzibar mwisho wa wiki hii.

Muandaaji na Mkufunzi wa masuala ya mitindo Farokh
Abdallah akitoa mafunzo kwa wanamitindo waliojitokeza kufanya usaili wa
kushiriki katika Maonesho ya Vodacom Zanzibar Fashion Week yatakayofanyika
kuanzia tarehe 25 hadi 27 visiwani Zanzibar Usaili huo ulifanyika katika ukumbi
wa Alliance Francaise jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mchujo mwingine
utafanyika visiwani Zanzibar mwisho wa wiki hii.

No comments:
Post a Comment