TANGAZO

Saturday, September 28, 2013

Wafanyakazi wa TANROADS walivyoshiriki maonesho ya Wiki ya Usalama Barabarani jijini Mwanza

Wafanyakazi wa TANROADS wakipongezana baada ya kupewa cheti cha kishiriki Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani 2013 mloani Mwanza. Wananchi walielimishwa kupitia vipeperushi, majarida mbalimbali  na kwa mfano wa barabara njia sahihi ya matumizi ya barabara, kutokuzidisha uzito kwenye magari, athari za kuiba alama za barabarani na madhara ya kuvamia hifadhi ya barabara.
Wafanyakazi wa TANROADS wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupewa cheti cha kishiriki Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani 2013, mkoani Mwanza jana. 
Bi. Zafarani Madayi, Mkuu wa Usalama Barabarani na Mazingira TANROADS, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mhe. Eng. Gerson Lwenge siku ya kufunga maonyesho ya Usalama Barabarani yaliyofanyika kitaifa CCM Kirumba, mkoani Mwanza jana, tarehe 27 Septemba 2013.

Wananchi wakielimishwa kupitia vipeperushi, majarida mbalimbali  na kwa mfano wa barabara njia sahihi ya matumizi ya barabara, kutokuzidisha uzito kwenye magari, athari za kuiba alama za barabarani na madhara ya kuvamia hifadhi ya barabara. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment