Abdulhalim Humud wa Simba akimtoka Salum Machaku wa JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Abdulhalim Humud na Said Hamis Mandemla, wote wa Simba, wakipongezana baada ya timu hiyo, kufanikiwa kufunga bao la Pili lililofungwa na Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba katika mchezo huo.
Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Abdalla 'King' Kibaden, akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu hiyo, katika mchezo huo, leo jioni, uwanjani hapo.
Golikipa wa JKT Ruvu, Ramadhan Kado, akiuchukua mpira miguuni mwa Gilbert Kazwe wa Simba, wakati wa mchezo huo.
Alhaji Zege wa JKT Ruvu (kushoto), akiwania mpira na Adeyun Seif wa Simba katika mchezo huo.
Miraji Athuman wa Simba, akijaribu kumtoka Damas Makwaya wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo huo.
Hali ya matokeo ya mchezo huo, hadi karibu mchezo unataka kumalizika kipindi cha Pili, ubao wa matangazo ulikuwa ukisomeka Simba 2 na JKT Ruvu 0.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo, dhidi ya JKT Ruvu uwanjani hapo leo jioni.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo huo, kati ya timu yao hiyo, dhidi ya JKT Ruvu uwanjani hapo leo jioni.
Abdulhalim Humudi wa Simba akimtoka Salum Machaku wa JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Omar Mtaki wa JKT Ruvu akiruka juu, akiwania kuupiga mpira kichwa na Hamis Tambe wa Simba.
Alhaji Zege wa JKT Ruvu (kushoto), akiwania mpira na Adeyun Seif wa Simba katika mchezo huo.
Hamis Tambwe wa Simba (nyuma), akijaribu kumnyang'anya mpira Damas Makwaya wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment