Uzinduzi wa Simtank Blue, ukifanyika eneo la Kiwandani, Mbozi Road Chang'ombe, Dar es Salaam leo huku ukishuhudiwa na yatima wa Kituo cha Kind Heart Africa (KHA), Tanzania. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Silaafrika Afrika Mashariki, Alpesh Patel.
Wapigapicha wa vyombo mbalimbali vya habari wakichukua matukio ya uzinduzi huo.
Uzinduzi wa Simtank Blue, ukifanyika eneo la Kiwandani, Mbozi Road Chang'ombe, Dar es Salaam leo huku ukishuhudiwa na yatima wa Kituo cha Kind Heart Africa (KHA), Tanzania. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Silaafrika Afrika Mashariki, Alpesh Patel na katikati ni Mr Tanzania Mussa Mohamed '50cent'.
Yatima na walezi wa kituo cha Kind Heart Africa (KHA) Tanzania wakipiga picha pamoja na Meneja Mkuu wa Silaafrika Afrika Mashariki, Alpesh Patel na Mr Tanzania (katikati), Mussa Mohamed '50cent'.
Yatima na walezi wa kituo cha Kind Heart Africa (KHA) Tanzania wakipiga picha pamoja na Meneja Mkuu wa Silaafrika Afrika Mashariki, Alpesh Patel na Mr Tanzania (katikati), Mussa Mohamed '50cent'.
Yatima na walezi wa kituo cha Kind Heart Africa (KHA) Tanzania wakimwangalia Mr Tanzania (katikati), Mussa Mohamed '50cent', wakati akitunisha misuli kwenye uzinduzi huo huku Meneja Mkuu wa Silaafrika Afrika Mashariki, Alpesh Patel (kushoto), akiwa pamoja nao.
Yatima na walezi wa kituo cha Kind Heart Africa (KHA) Tanzania wakipiga picha pamoja na Meneja Mkuu wa Silaafrika Afrika Mashariki, Alpesh Patel na Mr Tanzania (katikati), Mussa Mohamed '50cent'.
Meneja Mkuu wa Silaafrika Afrika Mashariki, Alpesh Patel akipongezwa kwa kushikwa mkono na Mr Tanzania, Mussa Mohamed '50cent', wakati wa uzinduzi huo.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silaafrica, Afrika ya Mashariki, inayotengeneza matanki ya kuhifadhia maji ya Simtank, Alpesh Patel, akikata keki pamoja na yatima wa kituo cha Kind Heart Africa (KHA), tawi la Tanzania, wakati wa uzinduzi wa tanki jipya la Simtank Blue, linye uwezo wa kuhimili hali ya mazingira ya aina yoyote, Dar es Salaam leo. Wengine ni wafanyakazi wa kampuni hiyo, Mr. Tanzania, Mussa Mohamed '50cent' (kushoto) pamoja na yatima wa KHA, tawi la Tanzania.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silaafrica, Afrika ya Mashariki, inayotengeneza matanki ya kuhifadhia maji ya Simtank, Alpesh Patel, akielezea jinsi tanki la Simtank Blue linavyoweza kuhimili mgandamizo wa aina yoyote bila kuathirika, wakati likikandamizwa na kifaa maalum cha kubebea mizigo wakati wa uzinduzi wake, jijini Dar es Salaam leo.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silaafrica, Afrika ya Mashariki, inayotengeneza matanki ya kuhifadhia maji ya Simtank, Alpesh Patel, akielezea jinsi tanki la Simtank Blue linavyoweza kuhimili mgandamizo wa aina yoyote bila kuathirika, wakati wa uzinduzi wake, Dar es Salaam leo.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silaafrica, Afrika ya Mashariki, inayotengeneza matanki ya kuhifadhia maji ya Simtank, Alpesh Patel, akielezea jinsi tanki la Simtank Blue linavyoweza kuhimili mgandamizo wa aina yoyote bila kuathirika, wakati likikandamizwa na kifaa maalum cha kubebea mizigo wakati wa uzinduzi wake, jijini Dar es Salaam leo.
Wananchi waliofika katika uzinduzi huo, wakishangilia hali hiyo.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silaafrica, Afrika ya Mashariki, inayotengeneza matanki ya kuhifadhia maji ya Simtank, Alpesh Patel, akielezea jinsi tanki la Simtank Blue linavyoweza kuhimili mgandamizo wa aina yoyote bila kuathirika, wakati likikandamizwa na kifaa maalum cha kubebea mizigo wakati wa uzinduzi wake, jijini Dar es Salaam leo.
Hapa likinyooshwa baada ya kukandamizwa sehemu ya juu.
Hapa likiwa tayari limeshanyooshwa tayari kwa kutumika kuwekea maji.
Kijana akiwa ameingia ndani ya tenki hilo kwa ajili ya kulinyoosha ili liweze kurejea katika hali yake ya zamani.
No comments:
Post a Comment