Naibu Waziri Wizara ya Katiba
na Sheria Angela Kairuki akizindua Kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora”
uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)
mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Katiba
na Sheria Angela Kairuki akionesha kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” alichokizindua
leo makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli
jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angela Kairuki akiongea na washiriki waliohudhuria uzinduzi
wa kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” leo katika ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
(THBUB) zilizopo mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyeki wa Tume
ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji Kiongozi
Msaafu).
Mwenyeki wa Tume ya
Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji Kiongozi Msaafu)
akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angela Kairuki na wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Kijitabu cha “Mwongozo
wa Utawala Bora” uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala
Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam. (Katikati) ni Naibu Waziri
Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki, Wa kwanza kushoto ni Makamu
Mwenyeki wa THBUB Mahfoudha Alley Hamid.
Katibu Mtendaji wa Tume
ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mary Massay akiwasisitiza washiriki
wa hafla ya uzinduzi wa Kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika katika
ofisi za THBUB zilizopo mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza ni
ni Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angela Kairuki (katikati) ni Mwenyeki
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji
Kiongozi Msaafu).
Picha ya pamoja ya Naibu
Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angela Kairuki baada ya kuzindua Kijitabu
cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika Makao Makuu ya Tume ya Haki za Binadamu
na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Eleuteri
Mangi- Maelezo)
No comments:
Post a Comment