Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Juma Ali Simai akihutubia wananchi pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbazi wakati Mwenge huo, ulipofika shuleni hapo jana, wakati wa ziara ya kukimbizwa katika Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wanafunzi wakiwa shuleni hapo (juu) pamoja na wananchi mbalimbali.
Mwenge wa Uhuru ukiwa shuleni hapo jana.
Mwenge wa Uhuru ukiwa kwenye kiti chake, ulipofikishwa shuleni hapo jana.
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Juma Ali Simai akihutubia wananchi pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbazi wakati Mwenge huo, ulipofika shuleni hapo jana,
Wanafunzi wakimsikiliza kiongozi wa mbio za Mwenge 2013, alipokuwa akiwahutubia shuleni hapo jana.
Wakimbiza Mwenge wakiwa kazini wakati mwenge huo, ukiondoka shuleni hapo jana.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msimbazi Mission, wakiondoka kwenye eneo la tukio baada mwenge huo kuondoka katika sehemu hiyo jana.
Ofisa Maendeleo wa Kata ya Ilala, Sapiencia Masaga, akisoma risala wakati wa uzinduzi wa kisima kirefu cha maji safi cha Mtaa wa Karume.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akiwa pamoja na Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge 2013, Juma Ali Simai pamoja na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa.
Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge 2013, Juma Ali Simai, akikata utepe ili kuzindua kisima cha maji safi cha Mtaa wa Karume.
Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge 2013, Juma Ali Simai, akifunua pazi kwa ajili ya uzinduzi wa kisima hicho.
Jiwe la Msingi la kisima hicho, linavyoonekana baada ya kuzinduliwa na Kiongozi wa mbio za Mwenge jana.
Jiwe la Msingi la kisima hicho, linavyoonekana baada ya kuzinduliwa na jana.
Kiongozi wa mbio za Mwenge 2013, akimtwisha ndoo ya maji mara baad kukizindua kisima kirefu cha maji ya kunywa.
Mkuu wa Wilaya ya wa Ilala, akihutubia katika hafla hiyo. Kulia ni Kiongozi wa mbio za Mwenge, Juma Ali Simai.
Askari Pilisi wakiwa wameuzunguka Mwenge huo wa Uhuru kwenye hafla hiyo.
Ofisa Mwelimishaji, Kijana wa Vingunguti, Jamila Alfani, akisoma risala ya kikundi chao mara baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Mbio za Mwenge 2013 jana.
Wananchi wa Vingunguti wakiwa kwenye hafla hiyo.
Ofisa Mwelimishaji, Kijana wa Vingunguti, Jamila Alfani, akiiwasilisha risala yake kwa kiongozi wa Mwenge, Juma Ali Simai.
Kiongozi wa Mwenge, Juma Ali Simai, akizindua kikundi cha Uelimishaji rika cha Vingunguti.
Jiwe la msingi la likiwa tayari baada ya kikundi hicho kuzinduliwa na Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge 2013, Juma Ali Simai jana.
Kikundi cha ngoma za kitamaduni kikitumbuiza katika hafla hiyo jana Hospitalini hapo.
Kikundi cha ngoma za kitamaduni kikitumbuiza katika hafla ya uzinduzi huo jana, Hospitalini hapo.
No comments:
Post a Comment