TANGAZO


Wednesday, September 11, 2013

HATUA ZA MWISHO ZA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA KLABU YA SOKA YA SUNDERLAND YA UINGEREZA ILI KUWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA SEKTA YA UTALII PAMOJA NA KUINUA SOKA NCHINI.

001Mkurugenzi wa Biashara wa klabu ya Sunderland, Bw. Gary Hutchinson (wapili kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu hatua ya mazungumzo waliyofikia  kujenga kituo cha michezo katika Manispaa ya Ilala ambayo itakuwa chimbuko la kuinua mchezo wa mpira wa miguu. (wakwanza kulia) ni Mkurugenzi wa Michezo Nchini Bw.leonard Tadeo,  (wapili kulia) Mkurugenzi wa Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki, (wakwanza kushoto) ni Mwakilishi wa klabu ya Sunderland Tanzania, Bw Edmund Hazzad.SONY DSCMkurugenzi wa Biashara wa klabu ya Sunderland Bw Gary Hutchinson, (kushoto) akimkabidhi mkurugenzi  wa wizara ya Habari, Vijana, utamaduni na  michezo Bw. Leonard  Tadeo jezi ambayo imesainiwa  na wachezaji wa  Sunderland.SONY DSCMkurugenzi  Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Biashara wa klabu ya Sunderland, Bw Gary Hutchinson, Tisheti ya Bodi ya Utalii.0005Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walioudhuria kwenye mkutano huo, wakiwa kazini. (Picha kwa hisani ya Philemon Solomon wa Fullshangwe Dar es  Salaam)

No comments:

Post a Comment