Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maoni ya Wakuu wa Mikao na Wilaya juu ya Rasimu ya Katiba. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari, maelezo, Assah Mwambene.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kushoto), akiwatambulisha wenzake aliofuatana nao katika mkutano wake na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuja kuelezea kuhusu maoni yao juu ya Rasimu ya Katiba jijini leo.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maoni ya Wakuu wa Mikao na Wilaya juu ya Rasimu ya Katiba. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama.na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maoni ya Wakuu wa Mikao na Wilaya juu ya Rasimu ya Katiba. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maoni ya Wakuu wa Mikao na Wilaya juu ya Rasimu ya Katiba.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maoni ya Wakuu wa Mikao na Wilaya juu ya Rasimu ya Katiba.
Wakuu wa Mikoa na wa Wilaya Mbeya, wakijitambulisha kabla ya kuzungumza na Waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maoni ya Wakuu wa Mikao na Wilaya juu ya Rasimu ya Katiba.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maoni ya Wakuu wa Mikao na Wilaya juu ya Rasimu ya Katiba. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akisistiza jambo kwa waandishi wa habari, wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu maoni ya Wakuu wa Mikao na Wilaya juu ya Rasimu ya Katiba. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment