Mwenyekiti wa Chama cha Watabibu wa dawa za Asili Tanzania (ATME) Bw.Simba A. Simba akifungua mkutano wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Watabibu wa dawa za Asili Tanzania(ATME) Bw.Simba A. Simba akifungua mkutano wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo.
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu akisisitiza jambo wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi katika Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo, kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw.Simba A. Simba.
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw. Kingunge Mwilu akisisitiza jambo wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu akimkabidhi cheti mmoja wa Matabibu wa tiba asilia Bw. Juma Juma wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo wa kwanza kushoto ni Boniventure Mwalongo Maratibu,wa pili kushoto Bw Adamu Chamwamba mwenyekiti Mkoa wa Pwani na wa tatu kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw. Simba Simba.
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu akimkabidhi cheti, Abba Ahmed Faqi ambaye Tabibu wa tiba asilia wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi katika Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo kwanza kushoto Bw. Adamu Chamwamba mwenyekiti Mkoa wa Pwani,katikati ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw.Simba A. Simba.
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu katika waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Tiba Asilia pamoja na Matabibu waliotunukiwa vyeti wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi katika Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo kwanza kushoto Bw. Adamu Chamwamba mwenyekiti Mkoa wa Pwani, katikati ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw.Simba A. Simba.
Wanachama na matabibu wa Tiba Asilia nchini wakifuatilia jambo kutoka kwa mgeni rasmi Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama hao kupitia mabaraza ya asasi Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo kwanza kushoto Bw. Adamu Chamwamba mwenyekiti Mkoa wa Pwani,katikati ni Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Simba A. Simba. (Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo)
No comments:
Post a Comment