Ofisa wa Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, Bakari
Maggid akiweka karatasi zenye majina ya washiriki wa mchezo wa fanya malipo kwa huduma ya M
PESA, ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya shilingi elfu 40, sanjari na muda
wa maongezi wa shilingi 1000, kila siku
ambapo washindi watano walipatikana, katika promosheni hiyo, inayoendeshwa na Kampuni ya Vodacom
Tanzania. Wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.
Mmoja wa wawakilishi wa Vodacom Tanzania, Jayles Joel akizungusha pipa lenye karatasi zenye majina washiriki
wa mchezo
wa fanya malipo kwa huduma ya M PESA ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya
shilingi elfu 40 sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku, ambapo
washindi watano walipatikana katika promosheni hiyo, inayoendeshwa na Vodacom
Tanzania. Anayeshuhudia, wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo, Matina
Nkurlu na wa tatu ni Ofisa wa Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, Bakari
Maggid.
Mkazi wa Dar es Salaam, Khadija Abdallah (kushoto), akishuhudiwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (wa pilikushoto) na Ofisa wa Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, Bakari
Maggid, akichukua karata yenye jina la mshindi wa kwanza kati ya washindi watano
waliojishindia shilingili elfu 40, sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000, kila mmoja katika mchezo wa fanya malipo kwa huduma ya
M PESA ukiwa Sabasaba.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu, akiongea
na baadhi ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa kuchezesha droo ya malipo kwa
huduma ya M PESA, ukiwa Sabasaba ambapo washindi watano walipatikana na
kujishindia shilingi elfu 40 kila mmoja sanjari na muda wa maongezi wa shilingi
1000 kila siku.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu
akiongea kwenye simu na mmoja kati ya washindi watano waliojishindia shilingi
elfu 40 kila mmoja kwenye droo ya malipo kwa
huduma ya M PESA ukiwa Sabasaba sanjari
na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku, Dar es Salaam leo.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akimpigia
simu mmoja kati ya washindi watano waliojishindia shilingi elfu 40 kila mmoja
kwenye droo ya malipo kwa huduma ya M PESA ukiwa
Sabasaba sanjari na muda wa maongezi wa
shilingi 1000 kila siku, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment