TANGAZO


Monday, July 8, 2013

Shughuli mbalimbali za Rais Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam leo


Rais Dk. Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek anayemaliza muda wake wa uwakilishi nchini. Balozi huyo baadaye alifanya mazungumzo na Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam 
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Spika wa bunge la Korea ya Kusini Mhe.Hee Chang wakati  spika huyo na ujumbe wake walipomtembelea Rais ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Spika wa Bunge la korea ya Kusini Mhe.Hee Chang baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa bunge la Korea Mhe.Hee Chang (kulia) akimfurahia  Simba aliyekaushwa na kupamba lango la  Ikulu  leo asubuhi. Kushoto ni mwenyeji wake, Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na na Waziri wa Mambo ya nje wa India Preneet Kaur ikulu jijini Dar es Salaam  leo.

No comments:

Post a Comment