TANGAZO


Tuesday, July 9, 2013

Serikali kushirikiana na Right to Play kuendelea michezo nchini

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Hermas Mwansoko akifafanua jambo kwa waandishi wahabari alipokutana na wageni kutoka Taasisi ya Right To Play leo, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Idara ya Habari-Maelezo)
Afisa Mtendaji Mkuu wa Right To Play International, ambaye pia ni mwanzilishi wa Taasisi hiyo, Johenn Olav Koss akisisitiza jambo  katika mkutano baina yake na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo leo, jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Right To Play Tanzania Bibi Josephine Mukakalisa (kulia) akifafanua jambo katika mkutano wa Taasisi yao na uongozi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo leo, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Right To Play International Johenn Olav Koss.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo akifafanua jambo kwa waandishi wahabari alipokutana na Wageni kutoka Taasisi ya Right To Play leo, jijini Dar es Salaam,Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Michezo Bibi Juliana Yassoda.
Baadhi ya wajumbe kutoka Right To Play wakifuatilia hotuba iliyokuwa inatolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo hayupo pichani,kutoka kulia ni Johenn Olav Koss Afisa Mtendaji Mkuu wa Right To Play kutoka Toronto Canada, Kelvin Taylor Makamu wa Rais wa Right To Play kutoka New York na Francis John Rwiza Meneja Miradi wa Right To Play Tanzania.
Waandishi wa Habari wakifuatilia mada katika mkutano baina ya Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na ujumbe kutoka Taasisi ya Right To Play International leo, jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya viongzi wa Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Taasisi ya Right To Play, mara baada ya mkutano wao huo, jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment