Mkurugenzi wa Kampuni ya kutengeneza nguo ya NIDA, Hasnain Pardesi, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu bidhaa zinazozalishwa na kiwanda chao pamoja na ushiriki wao katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini. Kulia ni Ofisa Utawala wa NIDA, Uzail Pardesi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza nguo ya NIDA, Elihuruma Mabelya, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu bidhaa zinazozalishwa na kiwanda chao pamoja, utendaji kazi, uzalishaji wa kiwanda hicho pamoja na ubora wa bidhaa zao pia ushiriki wao katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Hasnain Pardesi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza nguo ya NIDA, Elihuruma Mabelya, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu bidhaa zinazozalishwa na kiwanda chao pamoja, utendaji kazi, uzalishaji wa kiwanda hicho pamoja na ubora wa bidhaa zao pia ushiriki wao katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Hasnain Pardesi na kulia ni Ofisa Utawala wa NIDA, Uzail Pardesi.
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye banda la maonesho ya bidhaa za Kampuni ya kutengeneza nguo ya NIDA, katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo, wakiulizia bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho.Hapa wananchi wakiangalia vitenge na mashuka yanayozalishwa na kiwanda cha nguo cha NIDA.
Profesa Samwel Wangwe (kushoto), akipatiwa maelezo na Mshauri wa Masoko wa Kampuni ya NIDA, Kamaran Iqbal kwenye banda la kampuni hiyo, katika maonesho hayo leo.
Profesa Samwel Wangwe (kushoto), akifurahia bidhaa za Kampuni Hiyo, mara baada ya kupatiwa maelezo na Mshauri wa Masoko wa Kampuni ya NIDA, Kamaran Iqbal kwenye banda la kampuni hiyo, katika maonesho hayo leo.
Profesa Samwel Wangwe (kushoto), akimuuliza jambo Mshauri wa Masoko wa Kampuni ya NIDA, Kamaran Iqbal kwenye banda la kampuni hiyo, katika maonesho hayo leo.
Wananchi wakiwa katika harakati za kununua na kupatiwa maelezo ya bidhaa za Kampuni ya NIDA kwenye banda la kampuni hiyo leo.
Mwananchi akingalia nyuzi zinazozalishwa na Kampuni ya NIDA kwenye banda la kampuni hiyo.
Moja ya bidhaa za Khanga zinazozalishwa na Kampuni ya NIDA, ikiwa imetundikwa kwenye banda la kampuni hiyo leo.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya NIDA, Mohammad Noman (kushoto), akiwasikiliza wananchi waliotembelea banda lao kwenye maonesho hayo leo.
Kitanda hichi kilichomo kwenye banda hilo, kikiwa kimetandikwa mashuka yaliyotengenezwa na kampuni hiyo ya NIDA.
Hii ni bango liliwekwa kwenye mlango wa kuingilia wa banda la Kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment