TANGAZO


Friday, July 12, 2013

Naibu Waziri wa Elimu, Mulugo aongoza uzinduzi wa Elimu Jumuishi Kibaha, mkoani Pwani

 
IMG_0541
Naibu Waziri wa elimu na Mafunzo ya ufundi , Mhe. Phillipo Mulugo akihutubia hadhara katika viwanja vya shirika la elimu kibaha mkoani pwani wakati wa uzindunzi wa mpango wa elimu jumuishi wenye kauli mbiu “ondoa vikwazo tujenge elimu jumuishi”IMG_0524
Naibu waziri Mhe. Mulugo akicheza wimbo sambamba na mtoto William na Mhadhiri wa chuo kikuu huria bwana Cosmas Mnyanyi
IMG_0523
Naibu waziri Mhe. Mulugo akimtunza mwanafunzi Miriam wakati akiimba wimbo maalum wa elimu jumuishi. (Picha zote na Gervas Charles Mwatebela)
 

No comments:

Post a Comment