TANGAZO

Sunday, July 14, 2013

Mwenyekiti wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC, anayemaliza muda wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, aufungua mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo, jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, wakiwa katika ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk - www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, wakiwa katika ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana. 
Mwenyekiti wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, anayemaliza muda wake, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akihutubia wakati akiufungua mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana. 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, wakiwa katika ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana, wakati Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa asasi hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alipokuwa akiwahutubia.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, wakiwa katika ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana, wakimsikiliza Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa asasi hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alipokuwa akiwahutubia.

Mwenyekiti wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, anayemaliza muda wake, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akihutubia wakati akiufungua mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana. 
Wajumbe wa mkutano wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, wakiwa katika ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana, wakimsikiliza Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa asasi hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alipokuwa akiwahutubia.

Katibu Mtendaji wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, anayemaliza muda wake, Dk. Tomaz Salomao, akizungumza kwenye mkutano huo, baada ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kuufungua mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana.

Katibu Mtendaji wa Troika ya Siasa, Ulinzi na Usalama, anayemaliza muda wake, Dk. Tomaz Salomao, akizungumza kwenye mkutano huo, baada ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kuufungua mkutano wa Mawaziri wa asasi hiyo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), katika kikao chake kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Rajabu Gamaha.

No comments:

Post a Comment