TANGAZO

Friday, July 5, 2013

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania, Vibeke Jensen amtembelea Waziri Fenelle kumuaga

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (katikati), akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Tanzania Vibeke Jensen (kulia), alipotembelea ofisini kwa Waziri leo, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga na kushukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni, Profesa Hermas Mwansoko.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Tanzania Vibeke Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga na kushukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini. Wa kwanza kulia ni Mtaalam wa Elimu kutoka UNESCO, Abdoul Coulibaly na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni, Profesa Hermas Mwansoko.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (kushoto), akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Vibeke Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga na kumshukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kushoto), akiagana  na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Vibeke Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga na kumshukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini. (Picha zote na Frank Shija - Maelezo)

No comments:

Post a Comment