TANGAZO


Wednesday, June 19, 2013

Tanzania yasaini makubaliano ya msaada wa dolla 750,000 kwa ajili ya kusaidia mradi wa maji maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama

Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa akiongea jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA), Abdelaziz Khelef, wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za Kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola nyingine 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi, kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jijini leo. Utiaji saini huo ulifanyika  Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Anna Nkinda - Maelezo)  
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto), akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA), Abdelaziz Khelef  mara baada ya kusaini makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za Kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama, mkoani Mara na nyingine 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African, kilichopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini leo. (Picha zote na Anna Nkinda-Maelezo)
Baadhi ya Maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA), wakizungumza jambo wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za Kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na nyingine 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African, kilichopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini leo.
Waziri wa Maji Profesa, Jumanne Maghembe akimpongeza Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto), mara baada ya kumalizika utiaji saini, makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za Kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na nyingine 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African, kilichopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini leo. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA), Abdelaziz Khelef. 

Baadhi ya Maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA), wakifurahia utiaji saini wa makubaliano hayo ya kuisaidia Tanzania dola za Kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na nyingine 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African, kilichopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini leo. Utiaji saini huo ulifanyika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment