TANGAZO


Thursday, May 9, 2013

Waziri Mkuu Pinda afungua mkutano wa ALAT jijini Arusha


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Singida  Mashariki, Tundu Lisu kwenye uwanaj wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili kwa ajili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, leo May 9, 2013. Lisu pamoja na Wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti. Katikati ni Mbunge wa Igalula  Athumani Mfutakamba. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia  (kushoto) na Mwenyekiti wa ALAT , Dk. Didas Masaburi baada  ya kufungua mkutano Mkuu wa ALAT  kwenye ukumbi wa Sundown Carnival jijinii Arusha, leo May 9,2013.

No comments:

Post a Comment