TANGAZO


Friday, May 3, 2013

Rais Kikwete, ampokea Rais wa Serikali ya mpito ya Madagascar, akutana na washikadau wa Smart Patnership



Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimlaki Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina aliyewasili leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Ikulu)


Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina mara baada ya kuawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam na mgeni wake Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina mara baada ya kuwasili leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea kwenye hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership leo Mei 3, 2013, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washikadau toka katika mashirika binafsi na ya umma, walioalikwa katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership leo, Mei 3, 2013, Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment