TANGAZO


Wednesday, May 8, 2013

Rais Jakaya Kikwete awakabidhi bendera wanajeshi waendao kulinda amani Congo (DRC)


Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi bendera kiongozi wa batalioni ya wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wanaokwenda kujiunga na Jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika sherehe za kuwaaga zilizofanyika Msangani, Kibaha, mkoani Pwani leo. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyang wakishuhudia. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment