TANGAZO


Saturday, May 4, 2013

IGP Saidi Mwema awavisha Nishani Maofisa, Wakaguzi na Askari wa Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, Wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika leo, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, Wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki, jijini Dar es Salaam leo. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla hiyo ya kuwavisha nishani Maofisa, Wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki, jijini Dar es Salaam leo. 



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saidi Mwema (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha cha Polisi Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Ali Lugendo wakirudi Jukwaa Kuu baada ya IGP Mwema, kukagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, Wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki, jijini Dar es Salaam leo. 

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, Ofisa Mnadhimu Idara ya Upelelezi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Brown Lekey kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, Wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki, jijini Dar es Salaam leo. 

No comments:

Post a Comment