Ali Mohamed Shein (wa nne kulia), akijumuika na viongozi na waislamu katika kumswalia marehemu msanii maarufu wa muziki wa tarab ya asili, Fatma Binti Baraka 'Bi. Kidude' katika msikiti wa Mwembeshauri, Mjini Unguja leo.
maarufu wa muziki wa tarab ya asili, Fatma Binti Baraka 'Bi. Kidude' wakati wa maziko yake yaliyofanyika leo, huko kijijini kwao Kitumba, Wilaya ya Kati Unguja, ambapo maziko yake yamehudhuriwa na wasanii mbali mbali ndani na nje ya nchi.
Waombolezaji wakilebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Bi. Kidude wakati wa mazishi yake kijijini kwao, Kitumba, Wilaya ya Kati Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na wa Pili, Balozi Seif Ali Idd, wakisoma hitma wakati wa kuomboleza kifo cha msanii maarufu wa muziki wa tarab ya asili, Bi. Kidude Binti Baraka leo.
Waombolezaji wakiitoa maiti ya Bi. Kidude kwa ajili ya
kuizika kijijini kwao Kitumba, Wilaya ya Kati, Unguja.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika maziko yakuizika kijijini kwao Kitumba, Wilaya ya Kati, Unguja.
marehemu Bi Fatma Baraka (Kidude) kijijini kwao Kitumba,
Wilaya ya Kati Unguja.
Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dk
Ali Mohamed Shein (kulia), Rais wa Jamhuri ya Muungano,
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamo wa Kwanza wa Rais
Zanzibar, Maalim Seif Sharif na Makamo wa Pili wa Rais,
Balozi Seif Ali Iddi, wakiitikia dua baada ya maziko ya Msanii
maarufu wa muziki wa tarab ya asili, Fatma Binti Baraka 'Bi.
Kidude', aliyefariki jana na kuzikwa leo, kijijini kwao,
Kitumba, Wilaya ya Kati, Unguja.

No comments:
Post a Comment