TANGAZO


Friday, April 19, 2013

Rais Kikwete akutana na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye Viwanda la Uturuki (TUSKON) na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye Viwanda la Uturuki (TUSKON), Rizanur Meral na ujumbe wake leo April 19, 2013, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Ikulu)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akizungumza na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye Viwanda la Uturuki (TUSKON), Ikulu jijini Dar es Salaam leo, April 19, 2013. Wa pili kulia kwa Rais ni Rais wa shirikisho hilo, Rizanur Meral. 

No comments:

Post a Comment