Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali kutoka Idara ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Constantine Mashoko (kulia) akifungua kikao kazi kwa Wakaguzi wa Ndani wa Sekretarieti za mikoa Tanzania bara jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Msaidizi –Technical Audit – Amin Mcharo. Kikao hicho kilenga kutathmini jukumu la wakaguzi wa ndani.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha Wakaguzi wa Ndani wakifuatilia hotuba ya Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikalii Constantine Mashoko (hayupo pichani) akifungua kikao kazi kwa Wakaguzi wa Ndani wa Sekretarieti za mikoa Tanzania bara jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha Wakaguzi wa Ndani wakiwa katika pamoja na Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikalii Constantine Mashoko baada ya kufungua kikao kazi kwa Wakaguzi wa Ndani wa Sekretarieti za mikoa Tanzania bara jana jijini Dar es salaam. (Picha zote na MAELEZO_Dar es Salaam)
No comments:
Post a Comment