TANGAZO


Sunday, January 27, 2013

Yanga ilivyoinyanyasa Prison, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mashabiki wa Yanga, wakifuatilia mchezo  wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu hiyo na Prison, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 3-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Athuman Idd 'Chuji' wa Yanga (kulia), akipambana na Lugano Mwangama wa Prison katika mchezo huo.
Athuman Idd 'Chuji' wa Yanga (kulia), akipambana na John Matei wa Prison katika mchezo huo.
Ubao wa matangazo ukionesha hali ilivyokuwa baada ya kuanza kipindi cha pili cha mchezo huo, ambao kipindi cha kwanza hadi kinamalizika, timu hizo zilikuwa sare kwa kufungana bao 1-1.
Nurdin Issa wa Prison, akituliza mpira huku akifuatwa na Juma Abdul wa Yanga wakati wa mchezo huo.
Nurdin Issa wa Prison na Juma Abdul wa Yanga, wakikimbilia mpira uliokuwa mbele yao wakati wa mchezo huo.
Nurdin Issa wa Prison,  akimtoka Hamis Kiiza wa Yanga katika mchezo huo.
Juma Abdul wa Yanga, akipita katikati ya Nurdin Issa (28) na Julius Kwanga wa Prison,  wakati wa mchezo huo.
Hamis Kiiza wa Yanga, akijaribu kuwapita katikati ya Nurdin Issa (kushoto)  na Julius Kwanga wa Prison, wakati wa mchezo huo.
Hamisi Kiiza wa Yanga (kulia), akiwania mpira na Julius Kwanga wa Prison, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. 
Haruna Niyonzima (katikati) wa Yanga na mwenzake, Hamis Kiiza (kulia), wakimtoka Lugano Mwangama wa Prison.
Haruna Niyonzima (katikati) wa Yanga na mwenzake, Hamis Kiiza (kulia), wakimtoka Lugano Mwangama wa Prison.
Haruna Niyonzima wa Yanga, akimpiga chenga Nurdin Issa wa Prison.
Hadi mwisho wa mchezo huo, ubao wa matangazo ulikuwa ukionekana Yanga 3,  Prison 1.

No comments:

Post a Comment