TANGAZO


Tuesday, January 15, 2013

Rais Kikwete, Mkewe Mama Salma wawatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Mabalozi wa Nje nchini na wake wao, Baba jana, Mama leo

Mabalozi wa nchi za Kenya, Mutinda Mutiso, Japhet Isaack wa Namibia, Ambrosid Lukoki wa Angola wakimsikiliza Balozi Edzai Chimonyo wa Zimbabwe (kulia), wakati walipokuwa wakijadili jambo katika hafla iliyoandaliwa na Rais Kikwete, kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Ikulu, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Baadhi ya Mabalozi wa nchi za Nje wanaofanyakazi nchini na Wakuu wa Taasisi za Kimataifa, wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete, wakati alipokuwa akiwahutubia katika hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Ikulu Dar es Salaam jana. 
Balozi wa Russia nchini (wa pili kushoto), akiwa na wenzake wa Mataifa ya nje, wanaofanyakazi zao nchini, wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete, wakati alipokuwa akiwahutubia katika hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Ikulu Dar es Salaam jana. 
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza katika hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Mabalozi wa nchi za nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini pamoja na wawakilishi wa taasisi mbalimbali za Kimataifa, wanaofanya shughuli zao nchini, Ikulu Dar es Salaam jana.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, katika hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Mabalozi wa nchi za nje wanaoziwakilisha nchi zao, nchini pamoja na wawakilishi wa taasisi mbalimbali za Kimataifa, wanaofanya shughuli zao nchini, Ikulu Dar es Salaam jana.
Rais Jakaya Kikwete, akitakiana heri ya mwaka mpya na Balozi wa Russia nchini, katika hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Mabalozi wa nchi za nje wanaoziwakilisha nchi zao, nchini pamoja na wawakilishi wa taasisi mbalimbali za Kimataifa, wanaofanya shughuli zao nchini, katika hafla iliyofanyika, Ikulu Dar es Salaam jana.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi za nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini pamoja na wawakilishi wa Mashirika na Taasisi za Kimataifa wanaofanya shughuli zao nchini, wakati wa hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Ikulu Dar es Salaam jana.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza jambo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro, wakati wa hafla hiyo. 
Mke wa Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, akiwahutubia wake wa Mabalozi wa nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini pamoja na wake wa viongozi wa taasisi mbalimbali za Kimataifa wanaofanyia shughuli zao nchini, wakati wa hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Ikulu Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wake wa Mabalozi wa nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini pamoja na wake wa viongozi wa taasisi mbalimbali za Kimataifa wanaofanyia shughuli zao nchini, wakimsikiliza mke wa Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, alipokuwa akiwahutubia katika hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Ikulu Dar es Salaam leo.

Baadhi ya wake wa Mabalozi wa nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini pamoja na wake wa viongozi wa taasisi mbalimbali za Kimataifa wanaofanyia shughuli zao nchini, wakimsikiliza mke wa Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, wakati alipokuwa akiwahutubia katika hafla hiyo, Ikulu Dar es Salaam leo.
Mke wa Mkuu wa Mabalozi wa nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini, Celine Juma Mpango wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), akitoa shukurani kwa Watanzania kwa niaba ya nchi hizo, kutokana na ushirikiano wanaoupata nchini pamoja na mambo mbalimbali yahusuyo nchi hizo na Tanzania.
Mke wa Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, akitakiana heri ya Mwaka Mpya wa 2013 na mmoja wa wake wa Mabalozi wa nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini, wakati wa hafla hiyo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Mke wa Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, akitakiana heri ya Mwaka Mpya wa 2013 na mmoja wa wake wa Mabalozi wa nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini, wakati wa hafla hiyo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni mke wa Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal, Asha Bilal. 
Mke wa Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, akizungumza na baadhi ya wake wa Mabalozi wa nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini, wakati wa hafla, aliyowaandalia katika kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, hafla iliyofanyika, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia), akizungumza na baadhi ya wake wa Mabalozi wa nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini pamoja na wake wa viongozi wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa yanayofanyia shughuli zao nchini, wakati wa hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Mama Salma Kikwete akifurahia jambo na mke wa Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, Mama Anna, wakati wa hafla hiyo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. 
Mama Salma Kikwete akiagana na mke wa Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, Mama Siti Mwinyi (kushoto), wakati wa hafla hiyo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. 
Mama Salma Kikwete akiagana na wake wa Mabalozi wa nchi za nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini pamoja na wake wa wawakilishi wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa wanaofanyia shughuli zao nchini, wakati wa hafla hiyo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. 
Mama Salma Kikwete (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wake wa Mabalozi wa nchi za nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini pamoja na wake wa wawakilishi wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa wanaofanyia shughuli zao nchini, wakati wa hafla ya kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2013, Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.

No comments:

Post a Comment