TANGAZO

Monday, January 7, 2013

Rais Kikwete, azindua ujenzi wa Daraja, Chujio la Maji safi kwa wananchi wa Igunga, azungumza na Umoja wa Wanafunzi waliomaliza Chuo Kikuu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na kutoa ushauri kwa kundi la vijana 10 ambao baada ya kumaliza Chuo Kikuu wamejikusanya na kuunda kikundi cha ujasiriamali mjini Igunga wakijishugulisha na Kilimo. (Picha zote na Ikulu.
Wananchi wakivuka katika sehemu itakayojengwa darala la kisasa la Mbutu la Igunga ambao ujenzi wake umezinduliwa leo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, hatua ambayo itatatua kabisa tatizo la miundombinu.

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli, akijiunga na bendi ya Msondo Ngoma kutumbuiza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa daraja la Mbutu la Igunga leo. 
Rais Kikwete akipatiwa maelezo na mmoaj wa mainjinia wa ujenzi wa Daraja la Igunga, mara baada ya kuzindua ujenzi wake leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mashine ya kuchimbia mashimo ya nguzo za daraja na baadaye kukata utepe kuzindua ujenzi daraja la Mbutu la Igunga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe ili kuzindua ujenzi wa daraja la Mbutu la Igunga.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya, ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo, watapata maji safi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi.

No comments:

Post a Comment