TANGAZO


Sunday, January 13, 2013

Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu kujadili Changamoto za Muungano, Mjini Zanzibar

Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Fedha, Uchumi na Maendeleo wa Zanzibar, Omary Yusuph Mzee, akizungumza na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. William Mgimwa (kulia), wakati wa mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, kujadili Changamoto za Muungano, Mjini Zanzibar leo . (Picha zote na Ali Meja, Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mwenyekiti wa mkutano kujajidili Changamoto za Muungano Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed na Mwenyekiti Mwenza, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakijadili jambo wakati kwa mkutano huo.


Baadhi ya Mawaziri na Makatibu Wakuu, wakiwa katika mkutano wao wa kujadili Changamoto za Muungano, Mjini Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment