TANGAZO


Sunday, January 27, 2013

Mahafali ya 6 ya Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT), yalivyokuwa

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na Wageni waalikwa pamoja na viongozi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) katika mahafali hayo, jijini leo.
Waziri Mkuu akiwasili katika hafla ya mahafali ya DIT, Dar es Salaam leo. 
 Mgeni rasimi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati), akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) katika mahafali ya Sita ya Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam (DIT), jijini leo. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho,  Profesa John Kondoro.
Baadhi ya wahitimu wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Saalam (DIT), wakiwa katika mahafali yao hayo. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment