TANGAZO


Monday, January 7, 2013

CCM, CUF na CHADEMA vyawasilisha maoni yao kwa Tume





Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, akiwasilisha maoni ya chama chake, kuhusu Katiba Mpya, mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo, Jumatatu, Jan 7, 2013 katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba na kulia kwa Prof. Lipumba ni Katibu wa Tume Assaa Rashid. (Picha zote na Tume ya Mabadiliko ya Katiba)










Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), wakiwa katika mkutano wa ndani kati ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na chama hicho leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.







Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akifafanua jambo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya wananchi kwa viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliofika katika ofisi za Tume kuwasilisha maoni ya chama hicho kuhusu Katiba Mpya leo (Jumatatu, Jan. 7, 2013) na kupata fursa ya kutembelea Kitengo cha Taarifa Rasmi (Hansard). Kulia kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Tume Assaa Rashid na kushoto ni Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiongozwa na Mwenyekiti wao Prof. Ibrahim Lipumba mara baada ya chama hicho kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume jijini Dar es
Salaam leo (Jumatatu, jan 7, 2013).



Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Andrew Chenge akiwasilisha maoni ya chama chake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.






Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Andrew Chenge akiwasilisha maoni ya chama chake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.





Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba (kulia) wakiongozwa na Dkt. Salim Ahmed Salim wapokea maoni kuhusu Katiba Mpya kutoka kwa uongozi wa Chama cha Demokrasia na CM) ya chama chake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano kati ya chama hicho na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo (Jumatatu, jan. 7, 2012).




Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwasilisha maoni ya chama chake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.





Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwasilisha maoni ya chama chake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.





Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakifuatilia mkutano wa kukusanya maoni ya makundi mbalimbali katika ukumbi wa Karimjee leo (Jumatatu, Jan. 7, 2013) jijini Dar es Salaam.





Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akielezea kuhusu mapendekezo ya maoni yao, kuhusu Katiba mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wakati tume hiyo, ilipoanza kukusanya maoni kwa makundi maalumu. (Picha zote na Kassim Mbarouk)



Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akielezea kuhusu mapendekezo ya maoni yao kuhusu Katiba mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wakati tume hiyo, ilipoanza kukusanya maoni kwa makundi maalumu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Julius Mtatiro.




Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akielezea kuhusu mapendekezo ya maoni yao kuhusu Katiba mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wakati tume hiyo, ilipoanza kukusanya maoni kwa makundi maalumu. Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Bunge, Shaweji Mketo.


Baadhi ya waandishi wa habari, wakinukuu maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu mapendekezo ya maoni yao ya Katiba mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wakati tume hiyo, ilipoanza kukusanya maoni kwa makundi maalumu.


No comments:

Post a Comment