TANGAZO


Tuesday, January 8, 2013

BAVICHA kuwachukulia hatua vijana wasaliti wa Chama na Viongozi

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu baraza hilo, kuwachukulia hatua vijana wake wasaliti pamoja na mambo mengine yanayohusu nchi. Kulia ni Mwenyekiti wa BAVICHA, Mkoa wa Kinondoni, Hawa Mwaifuga, Mwenyekiti wa baraza hilo, Mkoa wa Rukwa, Laurent Mangueshi na Kaimu Katibu Mkuu wa BAVICHA, Esther Dafi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu baraza hilo, kuwachukulia hatua vijana wake wasaliti pamoja na mambo mengine yanayohusu nchi. Kulia ni Mwenyekiti wa BAVICHA, Mkoa wa Kinondoni, Hawa Mwaifuga na katikati ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Mkoa wa Rukwa, Laurent Mangueshi. 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, akifafanua jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu baraza hilo, kuwachukulia hatua vijana wake wasaliti pamoja na mambo mengine yanayohusu nchi. Kulia ni Mwenyekiti wa BAVICHA, Mkoa wa Kinondoni, Hawa Mwaifuga na katikati ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Mkoa wa Rukwa, Laurent Mangueshi. 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, akielezea jambo kwa waandishi wa habari, wakati alipokuwa akizungumza nao Dar es Salaam jana, kuhusu baraza hilo, kuwachukulia hatua vijana wake wasaliti. Kulia ni Mjumbe wa Sekretariet  ya BAVICHA, Danng Naftali, wa pili ni Mwenyekiti wa BAVICHA, Mkoa wa Kinondoni, Hawa Mwaifuga na wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Mkoa wa Rukwa, Laurent Mangueshi. 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, akifafanua jambo katika mkutano huo na waandishi wa habari, kuhusu baraza hilo, kuwachukulia hatua vijana wake wasaliti pamoja na mambo mengine yanayohusu nchi. 
Baadhi ya waandishi wa habari, wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza nao Dar es Salaam jana, kuhusu baraza hilo, kuwachukulia hatua vijana wake wasaliti pamoja na mambo mengine yanayohusu nchi. 
Baadhi ya waandishi wa habari, wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza nao Dar es Salaam jana, kuhusu baraza hilo, kuwachukulia hatua vijana wake wasaliti pamoja na mambo mengine yanayohusu nchi. 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, akisoma taarifa ya baraza hilo, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu baraza hilo, kuwachukulia hatua vijana wake wasaliti pamoja na mambo mengine yanayohusu nchi. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa BAVICHA, Esther Dafi. 

No comments:

Post a Comment