TANGAZO


Thursday, December 13, 2012

Ponda na wenzake wapandishwa kizimbani kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri, walioandamana Mbagala na kuvunja Makanisa nao wafikishwa tena Kisutu.

Baadhi ya wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda wakiwa wamekusanyika nje ya lango la kuingilia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, wakisubiri kuruhusiwa kuingia kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wao huyo mahakamani hapo leo asubuhi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Baadhi ya Askari Magereza, wa kupambana na ghasia wakiwa tayari kwa ajili ya kuweka ulinzi wakati Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda alipofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri mahakamani hapo leo. Sheikh Ponda pamoja na mambo mengine, anashitakiwa kula njama, kuharibu na kuiba mali pamoja na kuvamia kiwanja isivyo halali.

Baadhi ya Askari Magereza na Polisi wakiwa tayari kwa ajili ya kuweka ulinzi wakati Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda alipofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri mahakamani hapo. Sheikh Ponda pamoja na mambo mengine, anashitakiwa kula njama, kuharibu na kuiba mali pamoja na kuvamia kiwanja isivyo halali.

Baadhi ya Askari Magereza na Polisi wakiwa na silaha zao, tayari kwa ajili ya kuweka ulinzi wakati Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda alipofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri mahakamani hapo. Sheikh Ponda pamoja na mambo mengine, anashitakiwa kula njama, kuharibu na kuiba mali pamoja na kuvamia kiwanja isivyo halali.

Askari kanzu wakiwakagua baadhi ya wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda wakati walipokuwa wakiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam,  kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wao huyo, mahakamani hapo leo asubuhi.

Wafuasi wa Sheikh Issa Ponda wakikaguliwa na Askari kanzu wakati walipokuwa wakiingia Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wao huyo, mahakamani hapo leo asubuhi.

Wafuasi wa Sheikh Issa Ponda wakikaguliwa na Askari kanzu, walipokuwa wakiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wao huyo, mahakamani hapo leo asubuhi.

Askari kanzu, akimkagua kichwani kwenye kilemba, mmoja wa wafuasi wa Sheikh Issa Ponda wakati walipokuwa wakiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wao huyo, mahakamani hapo leo asubuhi.

Askari kanzu, akimkagua kijana mfuasi wa Sheikh Issa Ponda, wakati alipotaka kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wao huyo, mahakamani hapo.

Askari kanzu, akimkagua kijana mfuasi wa Sheikh Issa Ponda, sehemu za siri, wakati alipotaka kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wao huyo, mahakamani hapo.

Moja ya mabasi yaliyokuwa yamewabeba baadhi ya washtakiwa hao, likiingia mahakamani hapo leo.

Moja ya gari aina ya Toyota landcruser, lililokuwa limewabeba askari waliokuwa wakiwasindikiza washatakiwa hao, likiingia mahakamani hapo leo.

Baadhi ya washtakiwa wa maandamano ya Mbaga, waliodaiwa kuvunja makanisa wakiingizwa kwenda kwenye chumba cha Mahakama kusomewa kesi yao inayowakabili, ikiwemo kuharibu na kuiba mali za makanisa hayo.

Baadhi ya washtakiwa wa maandamano ya Mbaga, waliodaiwa kuvunja makanisa wakiingizwa kwenda kwenye chumba cha Mahakama kusomewa kesi yao inayowakabili, ikiwemo kuharibu na kuiba mali za makanisa hayo.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akisindikizwa na Askari Magereza kwenda kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri mahakamani hapo.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akifunguliwa pingu na Askari Magereza alipoingizwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kusubiri kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri mahakamani hapo.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akifunguliwa pingu na Askari Magereza alipoingizwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kusubiri kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri mahakamani hapo.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo pamoja na washitakiwa wa maandamano ya Mbagala, wanaoshtakiwa kwa kuvunja makanisa, kuaharibu na kuiba mali za makanisa.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akisalimiana na mmoja wa mawakili wake, Ubaid Hamidu wakati alipofikishwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo pamoja na wenzake 49 kwa ajili ya kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri. Vile vile leo mahakamani hapo walifikishwa washtakiwa wa maandamano ya Mbagala, wanaoshtakiwa kwa kuvunja makanisa, kuaharibu na kuiba mali za makanisa kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kesi yao hiyo.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akisalimiana na mmoja wa mawakili wake, Ubaid Hamidu wakati alipofikishwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo pamoja na wenzake 49 kwa ajili ya kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri. Vile vile leo mahakamani hapo walifikishwa washtakiwa wa maandamano ya Mbagala, wanaoshtakiwa kwa kuvunja makanisa, kuaharibu na kuiba mali za makanisa kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kesi yao hiyo.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akizungumza na mmoja wa mawakili wake, Ubaid Hamidu wakati alipofikishwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam leo pamoja na wenzake 49 kwa ajili ya kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri. Kulia ni mmoja wa ndugu zake, Twaha Kyaman.

Baadhi ya washtakiwa wa maandamano ya Mbagala, wanaoshtakiwa kwa kuvunja makanisa, kuharibu na kuiba mali za makanisa wakiwa kwenye chumba cha mahakama hiyo kwa ajili ya kusubiri kuendelea kusikilizwa kesi yao hiyo.

No comments:

Post a Comment