Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana
na Viongozi katika Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi ya Wanyama nje ya Mji wa
Vietnam, akiwa katika ziara ya rasmi ya Kiserikali na ujumbe wake,katika kukuza
uhusiano na Mashirikiano. (Picha zote na Ramadhan Othman,Viet Nam)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto), mkewe,
Mama Mwanamwema Shein, Waziri wa Kazi, uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,
Haroun Ali Suleiman, pamoja na Maofisa aliofuatananao wakisikiliza
taarifa kuhusu Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi ya Wanyama
nje ya Mji wa Vietnam, akiwa katika ziara ya rasmi ya Kiserikali na ujumbe
wake, katika kukuza uhusiano na Mashirikiano.
Ujumbe wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi
ya Wanyama,w akisikiliza Taarifa ya tafiti mbali mbali zilizofanywa na Taasisi
hiyo, zilizotolewa wakati ujumbe huo, ulipowasili kituoni hapo katika kukuza
uhusiano na ushirikiano baina ya pande hizo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia),
akipata maelezo kutoka kwa Msaidizi Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi ya
Wanyama Vu Chi Cuong,alipotembelea mabanda ya ufugaji wa kuku wa nyama na
Mayai,a kiwa katika ziara kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), na Ujumbe wake wakipata maelezo kutoka
kwa Mtembezaji wageni katika makumbusho ya Maandishi ya kale,Nguyen Thi Hang,
wakiwa katika Ziara ya Kiserikali Nchini VietNam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), na Ujumbe wake wakipata maelezo kutoka
kwa Mtembezaji wageni katika makumbusho ya Maandishi ya kale, Nguyen Thi
Hang,wakiwa katika Ziara ya Kiserikali Nchini Viet Nam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) na Ujumbe wake wakiwa katika picha ya
pamoja na Mtembezaji wageni katika makumbusho ya Maandishi ya kale, Nguyen Thi
Hang,(wa sita kati) baada ya kutembelea sehemu mbali mbali katika kumbusho hilo,wakiwa
katika Ziara ya Kiserikali Nchini VietNam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) na Mama Mwanamwema Shein (kushoto) na
Mtembezaji wageni katika makumbusho ya Maandishi ya kale, Nguyen Thi Hang, wakiwa
katika picha baada kutembelea sehemu mbali mbali ya kumbusho hilo, wakiwa katika
Ziara ya Kiserikali Nchini VietNam.

No comments:
Post a Comment