TANGAZO


Wednesday, November 21, 2012

Benki ya CRDB yadhamini Kongamano la Kimataifa la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki na Kati (AIESEC)

 Mmoja kati ya wajumbe waliohudhuria kongamano la kimataifa la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki na Kati (AIESEC), lililofanyika Mkoa wa Kusini Unguja na kuwashirikisha vijana wasomi, akibadilishana mawazo na Ofisa Mwandamizi wa CRDB, anayeshughulikia Huduma kwa Wateja, Silas Katemi (kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo, Nassib Kalamba. (Picha zote Na Mpiga Picha Wetu) 
 Ofisa Masoko wa CRDB, Janerose Mwombela akitoa ufafanuzi kuhusu huduma na bidhaa za benki ya CRDB kwa wajumbe waliohudhuria kongamano la Kimataifa la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki na Kati (AIESEC), lililofanyika Machui Mkoa wa Kusini Unguja na kuwashirikisha vijana wasomi. 
Ofisa Mwandamizi wa CRDB, anayeshughulikia Huduma kwa Wateja, Silas Katemi akizungumza katika kongamano hilo. 

No comments:

Post a Comment