TANGAZO


Wednesday, October 24, 2012

TPB yasaidia familia za wanajeshi waliofariki wakilinda amani nchini Sudan

Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), akizungumza na Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa (kushoto) na Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa, wakati walipofika Makao Makuu ya JWTZ kwa ajili ya kukabidhi fedha taslim sh. milioni 1.5, zilizotolewa na benki hiyo, ikiwa ni ubani kwa familia za wanajeshi 3, waliofariki nchini Sudan mwezi Agost, mwaka huu wakilinda amani nchini humo.

Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo, Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es Salaam jana wakati walipofika Makao Makuu kukabidhi fedha taslim sh. milioni 1.5, zilizotolewa na benki hiyo, ikiwa ni ubani kwa familia za wanajeshi 3 (kushoto), waliofariki nchini Sudan mwezi Agost, mwaka huu wakilinda amani nchini humo.

Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), akizungumza na Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa (hayupo pichani) na Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa (kushoto), wakati walipofika Makao Makuu ya JWTZ kwa ajili ya kukabidhi fedha taslim sh. milioni 1.5, zilizotolewa na benki hiyo, ikiwa ni ubani kwa familia za wanajeshi 3, waliofariki nchini Sudan mwezi Agost, mwaka huu wakilinda amani nchini humo. Kulia ni Meja Sebastian Dahaye wa JWTZ, Makao Makuu.

Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), akizungumza na Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa (hayupo pichani) na Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa (kushoto), wakati walipofika Makao Makuu ya JWTZ kwa ajili ya kukabidhi fedha taslim sh. milioni 1.5, zilizotolewa na benki hiyo, ikiwa ni ubani kwa familia za wanajeshi 3, waliofariki nchini Sudan mwezi Agost, mwaka huu wakilinda amani nchini humo.


Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), akizungumza na Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa na Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa (hawapo pichani), wakati walipofika Makao Makuu ya JWTZ kwa ajili ya kukabidhi fedha taslim sh. milioni 1.5, zilizotolewa na benki hiyo, ikiwa ni ubani kwa familia za wanajeshi 3, waliofariki nchini Sudan mwezi Agost, mwaka huu wakilinda amani nchini humo.

Meja Sebastian Dahaye wa JWTZ, Makao Makuu (kulia), akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto ni
Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Upanga.

Meja Sebastian Dahaye wa JWTZ, Makao Makuu (kulia), akifafanua jambo katika hafla hiyo, Katikati ni Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Upanga na kushoto ni Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa

Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), fedha taslim sh. milioni 1.5 zilizotolewa na benki hiyo, ikiwa ni ubani kwa familia za wanajeshi 3, waliofariki nchini Sudan mwezi Agost, mwaka huu wakilinda amani nchini humo. Wa pili kulia ni Meja Sebastian Dahaye wa JWTZ, Makao Makuu na wa pili kushoto ni Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa.

Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa (kushoto), akishukuriwa na Meja Sebastian Dahaye wa JWTZ, Makao Makuu baada ya kukabidhi kwa Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema (kulia) wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), fedha taslim sh. milioni 1.5 zilizotolewa na benki hiyo, ikiwa ni ubani kwa familia za wanajeshi 3, waliofariki nchini Sudan mwezi Agost, mwaka huu wakilinda amani nchini humo. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa.

Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema (wa  tatu kulia) wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), akipiga picha ya kumbukumbu na Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa ( wa tatu kushoto), Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa (katikati), wake wa wanajeshi wawili waliofariki nchini Sudani (kushoto), Meja Sebastian Dahaye wa JWTZ, Makao Makuu (wa pili kulia) na Sajenti Evord Niger (kulia) wa Makao Makuu ya JWTZ  Upanga baada ya makabidhiano hayo.

Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Mkwepu, Dar es Salaam, Ayub Mkwawa, akiwapa mikono wake wa wanajeshi wawili waliofariki nchini Sudani kati ya watatu baada ya kukabidhi fedha hizo ambazo baadaye watakabidhiwa na uongozi wa JWTZ. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Upanga akiwa ameshikilia bahasha zenye fedha hizo.

Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Upanga akiwa ameshikilia bahasha zenye fedha hizo, akipiga picha ya kumbukumbu na wake wa wanajeshi wawili kati ya watatu waliofariki nchini Sudani, mara baada ya makabidhiano hayo jana.

Maofisa hao wa JWTZ na wa Benki ya Posta (TPB), wakifurahia jambo baada ya makabidhiano hayo pamoja na wake wa wanajeshi wawili kati ya watatu waliofariki nchini Sudani, walifika katika hafla hiyo.


Mkuu wa Kikosi cha Utawala Kanali Jackson Mrema wa Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), akiishukuru Benki ya Posta kwa msaada huo na kusema kuwa ni moja ya taasisi inayojali maisha ya watu na utu wa mtu na kuahidi kuwa karibu nao na kushirikiana nao katika shughuli mbalimbali zikiwa za kijeshi ama za kiraia katika kuifanya kuwa juu kimaendeleo.

Ofisa Masoko wa TPB, Cristina Mselewa, akiwapa mkono wa pole wake wa wanajeshi wawili kati ya watatu waliofariki nchini Sudani, waliofika katika hafla ya makabidhiano hayo.

No comments:

Post a Comment