TANGAZO


Wednesday, October 3, 2012

Simba, Yanga zatoshana nguvu, satoka suluhu zafungana bao 1-1

Kikosi cha Yanga, kilichopambana na Simba katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Slaam.

Shabiki wa Simba aliyejipaka rangi na kuandika jina la mchezaji Mrisho Ngassa, akishangilia mchezo huo.

Mashabiki wa Simba wakishangilia timu yao wakati ilipochuana na Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilifungana bao 1-1 hadi mwisho wa mchezo wao huo.

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la timu hiyo, lililofungwa na Amri Kiemba.

Shabiki wa Simba akiwa amekunjua kitambaa chenye maneno ya kuwatania watani zao, wakati wa mchezo huo leo.

Wachezaji wa Simba wakiwania mpira na Haruna Niyozima wa Yanga katika mchezo huo.

Refa wa mchezo huo, akimtoa mchezaji Simon Msuva wa Yanga (kulia) kutokana na kucheza rafu ya makusudi katika mchezo huo.

Wachezaji wa Yanga wakilalamikia uamuzi uliotolewa na mwamuzi huyo.

Ubao ukionesha jinsi watani wa wajadi Simba na Yanga walivyotoka sare leo baada ya kufungana bao 1-1 hadi mwisho wa mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment