TANGAZO


Wednesday, October 3, 2012

RC Mahiza aziundua ofisi mpya za NHIF

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akitoa hotuba yake katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya iliyopo mjini Kibaha jana.

Mkurugenzi wa NHIF, Emanuel Humba akitoa maelezo ya utangulizi ya Mfuko kwa wageni walioalikwa katika hafla hiyo.
 
Wakibadilishana mawazo ya uboreshaji wa huduma za matibabu mkoani Pwani

No comments:

Post a Comment