Wajumbe wakichangia katika kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.

Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kulia), akitoa mada ya wizara yake katika kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na Maofisa waandamizi wa Serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma re3&re4: Sehemu ya wajumbe kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na Maofisa waandamizi wa Serikali, wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadaye katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

Dk. Jabir Kuwe Bakari, Mtendaji Mkuu, Wakala ya Serikali Mtandao, akitoa mada kuhusu wakala huo kwa wajumbe wa kikao cha kazi (retreat), cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na Maofisa waandamizi wa Serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadaye katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, George Yembesi akifafanua juu ya Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009, kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) Serikalini kwa wajumbe kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto), wakipitia Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA), Serikalini wakati wa kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na Maofisa waandamizi wa Serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. (Picha zote na Ikulu)

No comments:
Post a Comment