TANGAZO


Tuesday, October 30, 2012

Mkutano wa kukusanya maoni ya Katiba Kaskazini Unguja


Ame Khamis Ame (38), mkazi wa Shehia ya Mangapwani Mdodooni, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya, wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana, Oktoba 28, 2012. (Picha zote na Tume ya Mabadiliko ya Katiba)



Mbaruku Muhamad Mbaruku (65), mkazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni kuhusu Katiba Mpya, wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana, Oktoba 28, 2012.


Bi. Khadija Abas Haji (49), mkazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana, Oktoba 28, 2012. 

Bw. Issa Seremani Issa (60), mkazi wa Shehia ya Mangapwani Mdodooni, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana, Oktoba 28, 2012. 


Wakazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakifuatilia mkutano wa kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya, wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana, Oktoba 28, 2012. 

No comments:

Post a Comment