Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza wakati wa mkutano na Watanzania waishio nchini Oman, uliofanyika jijini Muscat hivi karibuni. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bwana Ali Ahmed Saleh.
Baadhi ya wafanyabiashara kutoka Tanzania na wenzao wa Oman wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa nchi hizo mbili, uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan Palace jijini Muscat hivi karibuni.
Baadhi ya Wafanyabiashara kutoka Tanzania na wenzao wa Oman wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa nchi hizo mbili, uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan Palace jijini Muscat hivi karibuni.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Oman katika mkutano uliofanyika jijini Muscat wiki iliyopita.
Rais Kikwete akiondoka kwenye Kasri la Mfalme wa Oman na mwenyeji wake, Sultan Al Qaboos. |
Baadhi ya Watanzania waishio Oman wakiwa kwenye mkutano na Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Muscat wakati wa ziara yake iliyomalizika juzi. (Picha zote na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment