TANGAZO


Monday, October 1, 2012

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif alipowasili jijini Arusha katika ziara ya Kichama


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu CUF bara, Julius Mtatiro mara baada ya kuwasili  uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Arusha (KIA), kwa ajili ya ziara ya kichama kama Katibu Kkuu wa chama hicho, Jijini Arusha mwishoni mwa wiki.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Kamanda wa Polizi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas mara baada ya kuwasili Arusha mwishoni mwa wiki kwa mkutano wa kichama.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo mara baada ya kuwasili mkoani Arusha mwishoni mwa wiki kwa ziara ya kichama. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF bara, Julius Mtatiro. (Picha zote na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment