TANGAZO


Tuesday, October 2, 2012

Kiwanda cha Dawa cha Masoor Daya chatimiza miaka 50

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua utengenezaji dawa za binadamu wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha  Mansoor Daya Chemicals Limited cha jijini Dar es Salaam kilichotimiza miaka 50, leo Oktoba 2, 2012. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Mansoor Daya. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha moja ya mtambo wa kutengeneza dawa wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals cha jijini Dar es Salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Mansoor Daya.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya (kulia kwake ) na familia yake baada ya kutembelea na kuzungumza na wafanyakazi na wageni waalikwa wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals Limited cha jijijini Dar es Salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya
Bwana Mansoor Daya (kulia), akimueleza jambo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipokuwa akizungumza naye katika ziara hiyo, kiwandani hapo leo. 
 Baadhi ya watoto wa Mansoor Daya,wakiwa katika hafla hiyo.
Bwana Mansoor Daya (kulia), akimueleza jambo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipokuwa akizungumza naye katika ziara hiyo, kiwandani hapo leo. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kiwanda cha Mansoor Daya na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki (kulia kwa Waziri Mkuu), wakati wa hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kiwanda cha Mansoor Daya na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki (kulia kwa Waziri Mkuu), nje ya kiwanda hicho, barabara ya Nyerere, jijini Dar es Salaam leo.
 Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo, wakipiga makofi kufurahia jambo.
 Kikundi cha ngoma ya Mganda ya asili ya Ruvuma wakicheza ngoma hiyo.
 Wasanii wa kikundi cha HB Entertainment wakionyesha manjonjo yao katika hafla hiyo.
 Waziri Mlkuu akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mansoor Daya, Bw. Mansoor Daya.
Deborah Chambo akifanya vitu vyake sambamba na msaani mwenzake, Michael Hamimu.

No comments:

Post a Comment